BUKOBA SPORTS

Sunday, February 25, 2018

FULL TIME: MAN UNITED 2-1 CHELSEA, LUKAKU AIFUNGA TIMU YAKE YA ZAMANI LEO OLD TRAFFORD, LINGARD AKIIPA USHINDI MAN UNITED LEO


Romelu Lukaku (katikati) akipongezwa mara baada ya kuisawazishia bao kwa kufanya 1-1 leo kwenye Uwanja wa Old Trafford. Man United wameshinda bao 2-1.
Lukaku akiwachambua mabeki wa Chelsea na kusawazisha bao
Jesse Lingard akifunga bao la ushindi kwa kichwa baada ya Lukaku kupiga mpira.
Lingard na Lukaku wakipongeza kwa bao, wote wamefunga bao moja moja.
 Willian akipitisha mpira kumfunga mbele ya Antonio Valencia's na kufunga bao.
Alvaro Morata baada ya kukosa kufunga bao
Morata akiteta jambo na Lukaku.
N'Golo Kante wa chelsea akitokwa na  Paul Pogba
Willian aliipachikia Bao la kuongoza Chelsea dakika ya 32 baada ya mabeki wote wa United kuzubaa.
Willian akishangilia bao lake na  Morata
Willian, kwa sasa ameifungia mabao 12 Chelsea
Eden Hazard ndie aliyempa pasi   Willian
Kipa Thibaut Courtois nae alishangilia bao lake.
Kocha wa England wa rugby  Eddie Jones (katikati) w akiwa karibu na  Paul Clement (kushoto)  na sambamba na  Sir Alex Ferguson.
Lukaku alisawazisha dakika 39
1-1
Lukaku akishangilia bao lake la kusawazisha
Lukaku akipongezwa kwa bao.

Defender Chris Smalling,  Scott McTominay, wote walimpongeza Lukaku

No comments:

Post a Comment