BUKOBA SPORTS

Tuesday, March 27, 2018

EDGAR BIAZO AIPELELEKA IJUGANYONDO FC NUSU FAINALI..JIONI HII KAITABA DHIDI YA TIMU YA BUHEMBE FC KWA BAO 1-0

Edgar Biazo akishangilia goli la pekee dakika za lala salama mara baada ya kuitandika bao 1-0 timu ya Buhembe Fc leo kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kwenye Ligi ya Kamala cup 2018. Mchezo huo ulikuwa ni wa kuhitimisha ungwe ya Robo Fainali. Diwani wa Kata ya Ijuganyondo Mh. Kamala Kalumuna akiwapongeza Vijana kwa ushindi walioupata
Edgar Biazo akishangilia goli la pekee dakika za lala salama mara baada ya kuitandika bao 1-0 timu ya Buhembe Fc leo kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

Edgar Biazo akipongezwa na mmoja wa kiongozi wa Timu hiyo ya Ijuganyondo akijulikana kwa jina Bube.
Pongezi za ushindi...!


Baadhi ya Wachezaji wa Timu ya Ijuganyondo Fc wakionesha pesa waliyopewa na Diwani wao mara baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Timu ya Buhembe Fc.

No comments:

Post a Comment