Kipa wa Kahororo Fc Kinyambe akiokoa mpira langoni mwake.
Kinyambe
Kikosi cha Timu ya BKB Veteran kilichoanza
Kikosi cha Timu ya Kahororo Fc kilichoanza
Salaamu kwa Mashabiki wao
Wachezaji wa Kahororo Fc wakishangilia mara baada ya kuifunga timu ya BKB Veteran goli 1-0 kipindi cha kwanza.
Diwani wa Kata ya Kahororo Chief Kalumuna (kulia) akishuhudia Vijana wake wakiwajibika Uwanjani, wa pili kutoka kulia ni Jonathan Mwanga a.k.a Mc Jerry
Mohamed Kassim wa BKB Veteran
No comments:
Post a Comment