BUKOBA SPORTS

Wednesday, March 14, 2018

KOCHA WA MWADUI FC MNYARWANDA ALLY BIZIMUNGU ACHACHAMAA KAITABA BAADA YA KIPIGO CHA BAO 1-0 DHIDI YA KAGERA SUGAR.

Kocha mkuu wa Mwadui FC Ally Bizimungu amesema wachezaji wamefungwa bao hilo moja kwa makosa ya kutomsikiliza vizuri kwani waliruhusu nafai hiyo moja kwa mpira wa adhabu {frii kiki} na amewataka wachezaji wake kujituma  Uwanjani. Pial alisema Timu yake ilikosa nafasi nyingi za kufunga Timu ya Kagera Sugar. Bao hilo la pekee la Kagera Sugar lilifungwa na Japhet Makarai
Kocha mkuu wa Mwadui FC Ally Bizimungu akijiuliza jambo wakati wa mchezo wao Mwadui Fc na Wenyeji Kagera Sukari mjini Bukoba kwenye Uwanja wa Kaitaba.
Kocha mkuu wa Mwadui FC Ally Bizimungu akiteta na jopo lake la ufundi.

No comments:

Post a Comment