Wissam Ben Yedder akiifungia bao la kwanza Sevilla kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya Usiku
Ben Yedder akishangilia vikali bao lake, baada ya kutokea benchi na kuwageuzia kibao Man United kwenye Uwanja wao kwenye hatua ya 16 bora.
Jesse Lingard na Romelu Lukaku wakijiuliza
Ben Yedder alitupia bao la pili tena kwa kichwa
Wachezaji wa Sevilla wakishangilia mbele ya Mashabiki wao wachache kwenye Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba.
Kipa De Gea looks akijiuliza nae
Romelu Lukaku alitupia bao na kufanya 2-1 dakika za lala salama
No comments:
Post a Comment