BUKOBA SPORTS

Friday, March 30, 2018

TIMU YA IJUGANYONDO FC YATINGA FAINALI BAADA YA KUIFUNGA BAO 3-2 TIMU YA KAHORORO FC



Wachezaji wa Kahororo Fc ndio walianza kuifunga timu ya Ijuganyondo fc

Mashabiki Jukwaa kuu
Salum Umande Chama nae ameshuhudia mtanange huo mkali wa Nusu Fainali uliopigwa dakika 120.


Kamala Kalumuna Diwani wa Kata ya Ijuganyondo akifurahia mara baada ya timu ya Kata yake kuibuka kidedea na kutinga Fainali.
Mchezaji wa Timu ya Kahororo Fc akiwa hoi chini  baada ya kufungwa 3-2 na Timu ya Ijuganyondo jioni hii kwenye Uwanja wa Kaitaba k=mjini Bukoba kwenye Ligi ya Kamala Cup 2018.


Mchezaji wa Timu ya Kahororo Fc akiwa hoi baada ya kufungwa 3-2 na Timu ya Ijuganyondo jioni hii kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kwenye Ligi ya Kamala Cup 2018.

No comments:

Post a Comment