
Straika wa Manchester United Romelu Lukaku akishangilia bao lake la 100 kwenye Ligi ya Premier Ligi wakati anaifunga Swansea city

Lukaku alipowatanguliza Man United kwa bao 1-0

Lukakuakishuhudia mpira ukizama nyavuni

Lukaku akishangilia bao lake (kulia)

Lukaku alizungukwa kupongezwa...kwa bao na Baadhi ya Wchezaji waa Man United
No comments:
Post a Comment