Romelu Lukaku akishangilia bao lake la pili alipofanya 2-0 dhidi ya Bournemouth jana usiku kwenye Ligi Kuu England.
Lukaku dhidi ya Asmir Begovic kwenye kipindi cha pili baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Pogba.
Pobga akimpongeza Lukaku kwa kufunga bao
Chris Smalling aliwafungia bao Man United dakika ya 28 kipindi cha kwanza
Smalling akipongezwa kwa bao na baadhi ya Wachezaji wa Man United.
Smalling akimfunga kipa Begovic Bournemouth kidogo wapate penati baada ya Callum Wilson kuangushwa na Luke Shaw kwenye eneo hatari.
No comments:
Post a Comment