Salomon Rondon akigombea mpira dhidi ya Dejan Lovren wa kichwa na kusawazisha bao kuwa 2-2.
Salomon Rondon akipongezwa mara baada ya kuifungia bao West Brom
Jake Livermore akiunganisha mpira dhidi ya Loris Karius na kupata bao
Mohamed Salah akifunga bao lake la 31
Salah akishangilia bao lake la 31 na kuweka Rekodi
Danny Ings akimfunga kipa wa West Brom
Ings akipongezwa kwa bao
No comments:
Post a Comment