Saturday, October 14, 2023

MSANII WA MUZIKI BARNABAS ELIAS BALOZI WA HAKIMILIKI


Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro akimkabidhi Cheti cha Utambulisho Msanii Barnaba Elias ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa Hakimiliki Tanzania kwenye hafla ya Uzinduzi wa Bodi ya COSOTA na Bodi ya Bodi Filamu Septemba 12, 2023 Jijini Dar es Salaam.

Tukio hilo limehudhuriwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Hamis Mwinjuma, Katibu Mkuu, Saidi Yakubu na Viongozi wa Taasisi hizo na Mashirikisho ya Sanaa.

No comments:

Post a Comment