BUKOBA SPORTS

Monday, May 7, 2012

LIGI KUU ENGLAND: MANCHESTER UNITED YAENDELEA KUTETEA UBINGWA KWA KUICHAPA SWANSEA CITY MABAO 2-0. MSHINDI KUJULIKANA MEI 13 KATI YA CITY NA UNITED!

Meneja wa United, Alex Ferguson. Wanahitaji miujiza kutetea unigwa waoHollow celebration: Michael Carrick and Paul Scholes after the latter had put Manchester United in front
Manchester United wameendelea kuweka ndoto zao za kutetea ubingwa wao kwa kuichapa Swansea kwa mabao 2-0.
United walijitahidi kutaka kufunga mabao mengi ili kupunguza tofauti iliyopo kati yao na Manchester City, lakini walipoteza nafasi nyingi za kufanikisha hilo.
Curler: Ashley Young fdoubles United's advantage with a stunning strike just before the break
 Ashley Young akitupia nyavuni kufanya goli ziwe mbili katika kipindi cha kwanza.
Paul Scholes ndio aliandika bao la kwanza la United huku la pili likifungwa na Ashley Young.
Manchester City wanaendelea kuongoza ligi wakiwa pointi sawa na United, lakini wana magoli 8 zaidi.Head tennis: Phil Jones goes up for a header with Danny Graham as the sides do battle
Manchester City watatangazwa kuwa mabingwa wiki ijayo iwapo wataichapa QPR, hata kama Manchester United watashinda mchezo wao wa mwisho dhidi ya Sunderland.
Wayne Rooney looks dejectedSir Alex Ferguson looks dejected
Sir Alex Ferguson (kushoto) na Wayne Rooney kwa machungu wakifukuzia ubingwa ligi kuu England
Iwapo United watataka kuchukua ubingwa, watalazimika kupata ushindi wa magoli zaidi ya manane huku wakizingatia matokeo yatakayopatikana kati ya City na QPR.Denied: Michael Worm saves Rooney's effort to prevent United extending their advantage

No comments:

Post a Comment