CHELSEA WASHINDA, ARSENAL WASHINDWA KUONYESHA CHECHE ZAO.
Chelsea wamebakia nafasi ya 5 licha ya kushinda ugenini ni walipoichapa Aston Villa bao 4-2. issue ilikuwa hivi...
Torres akishagilia baada ya kuipatia goli timu yake
Back with a bang: Torres scored his first Premier League goal for six months against Villa
Opener: Daniel Sturridge (right) celebrates putting Chelsea in front against Aston Villa
Double trouble: Branislav Ivanovic scores Chelsea's second goal against Villa
Back in it: Aston Villa's James Collins scores his side's first goal of the game
Leveller: Eric Lichaj (left) scores Aston Villa's equaliser before Chelsea hit back to win
Katika Mechi nyingine zilizochezwa leo, Arsenal wakicheza ugenini wamepigwa bao 2-1 na QPR lakini bado wapo nafasi yao ya 3 ingawa Jumapili Tottenham wanaweza kuwapiku ikiwa wataifunga Swansea zaidi ya bao 3.
Adel Taarabt akishangilia goli la kwanza kwa timu yake
No comments:
Post a Comment