BUKOBA SPORTS

Tuesday, April 10, 2012

PA-PISSDEMBA CISSE AVUNJA REKODI YA ALAN SHEARER - PREMIER LEAGUE KWENYE NUMBERS


1- Tottenham wamepata clean sheet moja tu katika mechi zao saba zilizopita za mwisho za premier league.

5 - Newcastle wameshinda mechi tano mfululizo za premier league kwa mara ya kwanza tangu mwezi April 2006.

6 - Papiss Cisse amefunga magoli 6 katika mechi 6 za EPL kwa timu yake ya Newcastle katika uwanja wa wao Sports Direct Arena.

7 - Jermain Defoe ameanza katika mechi 10 za premier league na Tottenham msimu huu na kufunga magoli 7 katika mechi hizo.

9 - Papiss Demba Cisse amefikisha magoli 10 ya Epl katika mechi 9, mechi chache zaidi kuliko Alan Shearer alivyofanikiwa kufanya hivyo.

1549 - Namba ya siku tangu James McFadden alipoanza katika kikosi cha Everton katika mechi za ugenini Premier league - mara ya mwisho ilikuwa January 12, 2008.

No comments:

Post a Comment