BUKOBA SPORTS

Monday, April 9, 2012

ROMA AWABURUDISHA WAPENZI WAKE WA BUKOBA USIKU WA PASAKA NDANI YA UKUMBI WA LINA'S

 Ilikuwa ni burudani ya aina yake kutoka kwa msanii wa muziki wa Hip hop Ibrahim Mussa “Roma Mkatoliki"
 wadau wakichill ndani ya Linas Night Club wakati wa show
 Wadau wakiwa katika show
 Mashabiki wakimtuza Roma
 Muonekano wa Club linas wakati wa show
 Ma-Deejay kazini
 Mashabiki wakijirusha na ngoma za Roma
 Wadau wakiwa cool
Roma akiwasha moto Club Linas

No comments:

Post a Comment