| Ally Mustapha Barthez akijifua mazoezini leo hii mjini Setif. |
| Kocha wa Simba Milovan Cirkovic akifuatilia mazoezi kwa umakini |
| Okwi, Machaku na Sunzu wakipasha jioni ya leo hapa Algeria. |
| Amiri Mafta |
| Mwinyi Kazimoto nae akiwa katika hali nzuri akifanya mazoezi na wenzake. |
| Kikosi cha Simba wakiwa wanaomba dua baada ya kumaliza mazoezi jioni ya leo. |
No comments:
Post a Comment