BUKOBA SPORTS

Wednesday, April 4, 2012

SIMBA WALIPOWASILI ARGERIA MJINI SETIF WALIFIKIA HOTELI YA ZINEDINE ZIDANE

Kocha wa Simba Milovan akiwa na daktari wa simba.






Hotel waliyofikia Simba hapa Setif inayoitwa jina la mwanasoka bora wa dunia wa zamani Zinedine Zidane ambaye ana asili ya Algeria

Victor Costa Jumba akiwa na mmoja ya viongozi wa msafara huo

Bwana Salum Machaku akiwa anashangaa shngaa watoto wa kiarabu.

Emmanuel Okwi na Uhuru Suleiman

Ally Mustapha Barthez akiwa na Amiri Maftaa na Felix Sunzu leo walipowasili mjini Setif -Algeria

No comments:

Post a Comment