BUKOBA SPORTS

Monday, May 14, 2012

CFAO MOTORS YASAIDIA KUFANIKISHA MASHINDANO YA MCHEZO WA KUOGELEA TANZANIA (TSA).


Picha Juu na chini ni Baadhi ya Mashabiki wa mchezo wa kuogelea waliohudhuria mashindano hayo.


Picha juu na chini ni Baadhi ya washiriki wa mashindano ya kuogelea wakichumpa kwenye maji.


Time Keepers wakihakikisha washindi wanapatikana kihalali.

Time Keepers waliosimamia shindano hilo wakipungia mashabiki.

Picha Juu na chini ni Meneja Masoko wa CFAO Motors Bw. Alfred Minja akiwavisha medali baadhi ya washindi wa mashindano ya kuogelea yaliyofanyika katika Shule ya Hopac iliyopo jijini Dar es Salaam.




Makocha, wazazi na wanamichezo wakisubiri kutajwa kwa washindi wa mashindano ya kuogelea yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa Juma

No comments:

Post a Comment