BUKOBA SPORTS

Friday, May 11, 2012

JUMBA LA BIG BROTHER MWAKA HUU NOMA, KUNA UPVILLE NA DOWNVILLE!

Picha mbili za juu ni za Upville house wanapolala kina Prezzo, kumbuka kuna nyumba mbili tofauti mwaka huu na zote zina washiriki, upville wako mastaa saba wa nchi mbalimbali za Afrika.
Hii picha na hiyo ya chini yake ndipo wanapokaa wale washiriki wengine mchanganyiko wa BBA, Downville house

No comments:

Post a Comment