Mkurugenzi wa kampuni ya LINO Agency ambao ni waandaaji wa Shindano la Redds Miss Tz Hashimu Lundenga katikati akizungumza na warembo wanashiriki shindano la Redds Miss IFM juu ya vigezo na taratibu za kumpata mshindi kwenye fainali zinazotarajia kufanyika CINE Club jumamosi ya juma hili,Kulia ni Mwandaaji wa Redds Miss Dar Inter College na kushoto Ni afisa toka kamati ya Redds Miss Tanzania.
Baadhi ya washiriki wa Redd's IFM
No comments:
Post a Comment