Steve Morison akifunga goli la tatu katika dakika 5 za lala salama
Yossi Benayoun akitupia goli la kwanza kwa Arsenal
Yossi Benayoun alifunga bao zuri dakika ya pili, lakini Wojciech Szczesny akajiruhusu kufungwa kirahisi na Hoolahan dakika ya 12.
Grant Holt aliifungia bao la kuongoza Norwich dakika ya 12, lakini Van Persie akasawazisha dakika ya 72 na kufunga la tatu dakika ya 80 kabla ya Morison kufanya sare ya 3-3.Arsenal inabakiwa nafasi ya tatu kwa pointi zake 67, lakini ikiwa imecheza mechi moja zaidi dhidi ya Tottenham yenye pointi 65.
No comments:
Post a Comment