Poromota J&P Entertainment (kushoto) akiwa na Dj Masoud katikati ya Jiji la Boston, Massachusetts jana mchana wakati wakimvinjalisha mwanamuziki wa kizazi kipya
Linah ambaye muda si mrefu alifanya show yake kwenye ukumbi wa
Knight of Columbus uliopo Leominster nje kidogo ya Boston.
Linah akiwa na mwenyeji Dj Masoud (kushoto) na poromota wake J&P Entertainment wakiwa ndani ya Mall katikati ya Jiji la Boston.
Dj Masoud akiwa na Linah ndani ya Mall iliyopo Boston mjini.
Linah (wapili toka kulia) akiwa na shemeji yake Expeditho (kulia) na Dr. Ramadhani Mwiru (wapili toka kushoto) maeneo ya chuo kikuu cha Harvard kilichopo Boston, Massachusetts wote ni wanafunzi wa chuo hicho na kushoto ni Dj Masoud.
Linah akipata picha na shemeji yake Expeditho walipokutana kwa mara ya kwanza tangia Linah alipokuja hapa Marekani, Expeditho amemuoa dada yake Linah.
kutoka shoto ni Mpwa, Dj Richmaka na Dj Masoud wakirekebisha mitambo jioni hii kwenye ukumbi atakaofanyia show Linah muda mchache ujao.
Steve Bube (kushoto) anaeishi New Hampshire akipiga picha na Dj Richmaka alipofanya saprise kufika ukumbini bila taarifa maalum ya kuwepo kwake Leominster, Massachusetts.
Mpwa akipata ukodak moment na Steve Bube
Dj Masoud wa Massachusetts akipiga picha na msanii wa Bongo Flava Linah.
kutoka kushoto Dj Masoud, Linah na Mully wakipata picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment