BUKOBA SPORTS

Saturday, May 12, 2012

MASSACHUSETTS PATAKUA HAPATOSHI KESHO JUMAMOSI

Mwanamuziki wa Bongo Flava anaekuja juu kwa kasi ya ajabu Linah akiwa ndani ya Gari Moshi la kizungu akichanja mbuga kuelekea Boston, Massachusetts kwenye show yake itakayofanyikia The Night Of Columbus mjini Leominster, Jumamosi May 12, 2012, Linah ameongozana na Dj Luke pamoja na J&P Entertainment.

No comments:

Post a Comment