BUKOBA SPORTS

Monday, May 7, 2012

MECHI KATI YA BONGO MOVIE 3 NA TWIGA STARS 2


Kama kawaida ya Bongo Movie Club ushindi kwao ni kawaida yao juzi iliweza kuifunga Twiga Stars team ya wanawake kwa mabao matatu kwa mawili ulikuwa ni mapambano kwa kuichangia Twiga Stars ili iweze kupata hela kwa ajili ya mashindano ya kimataifa yanayoendelea tarehe 21 ya mwezi huu watapambana na Namibia kama kumbukumbu zangu ziko sawa


Kabla ya kuelekea uwanja Taifa kama kawaida ya wasanii wanapokutana upata picha za pamoja


Catty Rupia na Mayasa Mrisho


Njiani kuelekea Uwanjani


Shilole


Jackline Wolper katibu msaidizi wa Bongo Movie Club na Davina aliyevalia tishert nyekundu


Wanachama wa Bongo Movie


Kama kawaida ya mpira wachezaji usalimiana kabla ya mtanange kuanza


Timu ya Bongo Movie


 Kazi imeanza wadau


Benchi la ufundi likifuatilia mpambano kwa umakini mkubwa sana


The Greatest baada ya kumpisha Jb


Mpira umekwisha na Bongo Movie kuibuka na ushindi wa mabao matatu kwa mawili

No comments:

Post a Comment