BUKOBA SPORTS

Wednesday, May 9, 2012

MISS NYAMAGANA 2012/2013 MAMBO YAMEKWIVA!!! KUFANYIKA JUNE 02.

Amina Seleman

Aisha Idrisa

Roswita Innocent

Herry Nicodem

Pendo Simon

Vivian Silaa

Cecilia Alex

Nguza Shaaban

Marcelina Frank

Brenda Richard

Kuney Elizabeth

Livelove Clemence

Whitness Moses




Shindano la Miss Nyamagana 2012/2013, linatarajiwa kufanyika usiku wa Jumamosi ya terehe 02 June 2012 katika ukumbi wa Gold Crest Jijini Mwanza. Takriban warembo 25 wamejitokeza katika shindano hilo, huku idadi ya warembo kujaza form za ushiriki ikiongezeka kila kukicha.
Mazoezi kwa warembo yataanza rasmi tarehe 14 June 2012 katika ukumbi wa Gold Crest Mwanza. Kwa mawasiliano ya udhamini na ushiriki kwa warembo piga namba 0717 557 220, 0764 088 485

No comments:

Post a Comment