BUKOBA SPORTS

Friday, May 4, 2012

MISS REDD’S ARUSHA CITY CENTRE KUJULIKANA KESHO JUMAMOSI NDANI YA HOTELI YA KITALII YA NAURA SPRINGS

 Washiriki wa kitongoji Kanda ya kaskazini,Miss Arusha City Center 2012, wakiwa katika picha ya pamoja,tayari kuchuana vikali Mei 5 2012 ndani ya hoteli ya Kitalii,Naura Springs Hotel iliyopo kati kati ya jiji la Arusha. Katika shindano hilo kiingilio kimepangwa kuwa ni kwa viti maalum ni sh.25,000/= na kwa viti vya kawaida ni sh 15,000/=

No comments:

Post a Comment