Moto wa mwenge utakaotumiwa kuasha mwenge wa mashindano ya Olimpiki mjini London uliashwa mahali yalipozaliwa mashindano ya kale ya Olimpiki siku ya Alhamisi.
Mwenge wa Olimpiki
Mwenge wa Olimpiki
Gianniotis ni mmoja wa watu 490 watakaotembeza mwenge huo mwendo wenye umbali wa kilomita 2,900 kupitia Ugiriki kabla haujakabidhiwa kwa watayarishaji wa mashindano ya London tarehe 17 May.
Tafauti na tabia ya mashindano ya awali, ambapo mwenge huu unazungushwa dunia nzima, safari hii utavuka nje ya visiwa vya Uingereza mara moja u, kupitia Dublin mnamo tareh 6 Juni.
Mashindano ya Olimpiki yataanza tareh 27 Julai hadi tareh 12 Agosti 2012.
No comments:
Post a Comment