Mchezaji huyo wa kijapani bado ana mwaka mmoja katika mkataba wake wa sasa, na Borussia Dortmund wanaogopa wasije wakapata hasara kama wataendelea kumng'ang'ania mchezaji huyo na hivyo wameona ni bora kumuuza kwa sasa wakati bado ana mkataba na klabu hiyo ya ujerumani.
No comments:
Post a Comment