Wilfred Moshi ambaye ni Mtanzania wa kwanza kufika kilele cha mlima mrefu kiliko yote duniani amewasili jana saa saba mchana Nchini. Tunamshukuru sana Mungu kwa kumlinda.
Wilfred Moshi akilakiwa na ndugu, jamaa na marafiki Wilfred Moshi akiongea na waandishi wa habari
No comments:
Post a Comment