BUKOBA SPORTS

Friday, June 8, 2012

DIAMOND KATUA MWANZA KUZINDUA MAGIC FM LEO HII USIKU VILLA PARK!!




DIAMOND AKIWA NA DANCER'S WAKE LEO ALIPOTUA NDANI YA JIJI LA MWANZA KWA AJILI YA UFUNGUZI WA RADIO YA MAGIC FM.  KUKAMUA  USIKU HUU, PIA AMEWATAHADHALISHA WAPENZI WAKE WAFIKE KWANI ANAMAMBO SAFI YA KUPOROMOSHA KWENYE UKUMBI WA VILLA PARK.

No comments:

Post a Comment