Prado ya Raisi wa wasafi ...Diamond Platnumz
Hii ndo prado yangu mpyaaaa...........!!!
Pozi hili unalionaje?Gari la kwangu hili....???
Picha juu ni matukio mbalimbali za mwanamuziki machachari nchini Diamond Platinumz akiwa mbele ya gari yake mpya aina ya Land Cruiser Prado VX.
Picha Zote na Diamond Platinumz
No comments:
Post a Comment