Mkataba wa Drogba na Chelsea unamalizika Mwezi huu na mazungumzo ya kumpa mpya yalivunjika baada ya kutokubaliana kuhusu muda wa Mkataba huo.
Iliripotiwa kuwa Wiki iliyopita Zhu Jun alizuru Ivory Coast ili kukamilisha mazungumzo na Kambi ya Drogba lakini amekataa kusema chochote kuhusu hilo.
Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kwamba Drogba atakuwa akilipwa Dola Milioni 15 kwa Mwaka.
Zhu Jun ni Tajiri ambaye anamiliki Kampuni zinazochezesha Kamari Mtandaoni na Klabu yake Shanghai Shenhua tayari imeshamuajiri Kocha wa zamani wa Argentina Sergio Batista.Mmiliki wa Klabu ya China Shanghai Shenhua, Zhu Jun, amedokeza kuwa Didier Drogba atajiunga na Klabu yake.
Mkataba wa Drogba na Chelsea unamalizika Mwezi huu na mazungumzo ya kumpa mpya yalivunjika baada ya kutokubaliana kuhusu muda wa Mkataba huo.
Huko Shanghai Shenhua, Drogba ataungana na Mchezaji mwingine wa zamani wa Chelsea Nicolas Anelka ambae alikwenda huko tangu Januari.
No comments:
Post a Comment