Mabingwa wa Ulaya Chelsea wameafikiana na Klabu ya Ufaransa Lille kuhusu uhamisho wa Eden Hazard na Mchezaji huyo kutoka Ubelgiji pia amekubaliana na Chelsea kuhusu maslahi yake binafsi na tayari amefuzu upimaji wake wa afya hapo Stamford Bridge.

Uhamisho huu, unaosadikiwa kugharimu Pauni Milioni 32, utakamilika rasmi hapo Juni 13 wakati Dirisha la Uhamisho la Ufaransa litakapofunguliwa rasmi.

Mara baada ya upimaji afya yake, Hazard alitamka: “Nina furaha kufika hapa, ni Klabu njema na nina hamu kubwa kuanza nayo!”
Hazard amekuwa akisakwa na Klabu kubwa Barani Ulaya, zikiwemo Real Madrid na Manchester City, hivyo kwa Chelsea kufanikiwa kumchukua ni ushindi mkubwa kwao.
Hazard anakuwa Mbelgiji wa nne hapo Stamford Bridge wengine wakiwa ni Thibaut Courtois, Romelu Lukaku na Kevin De Bruyne na pia anakuwa Mchezaji wa pili kihistoria Klabuni hapo kugharimu dau kubwa akiwa nyuma ya Fernanndo Torres.
Huyu ni Mchezaji wa pili kwa Chelsea kumnunua tangu Msimu wa 2011/12 kumalizika na mwingine ni Marko Marin kutoka Werder Bremen.

Inaaminika Straika wa Brazil Hulk, anaecheza FC Porto ya Ureno, nae yuko mbioni kujiunga na Chelsea kwa dau la Pauni Milioni 38.
EDEN HAZARD FACTFILE
2005 - Moves from Belgian side Tubize to Lille
2007 - Signs first professional contract, three-year deal
November - Makes his senior professional debut against Nancy
2008 - September - Becomes youngest goalscorer in Lille's history
October - Makes Belgium debut aged just 17
2009 - Named France's Young Player of the Year
2010 - Retains the award and becomes the first player to do so
2011 - May - Helps Lille to first league title since 1954 and first cup double since 1946. Also voted Ligue 1 player of the Year
October - Scores first international goal
2012 - June - Signs for Chelsea for £32million
Club appearances 2011-12: 48
Club goals 2011-12: 21
Club assists 2011-12: 18
Total international caps: 28
Total international goals: 2

No comments:
Post a Comment