Mechi hiyo iliendelea tena baada ya Saa moja na kuifanya Mechi nyingine ya Kundi D kati ya England na Sweden icheleweshwe kuanza kwa Robo Saa.
Bao za France zilifungwa na Jeremy Menez, katika Dakika ya 53 na Yohan Cabaye, Dakika ya 56, huku zote zikitengenezwa na Karim Benzema.
France ndio wanaongoza Kundi D wakiwa na Pointi 4 na wanafuata Ukraine wenye Pointi 3, England Pointi 1 na Sweden hawana hata Pointi.
France watacheza Mechi yao ya mwisho ya Kundi D hapo Jumanne Juni 19 dhidi ya Sweden.
mvua iliwasimamisha kwa muda wa dakika tano baada ya hapo refa akasimamisha mtanange
Samir Nasri (kushoto) wa France na Taras Mikhalik (kulia)wa Ukraine wakichuana
Mvua kali ilinyesha na kuwafanya mashabiki kurushia
mashabiki wa Ukraine watatu wakiendelea kufurahia kwa mvua na hatimaye mwisho wa mechi kufungwa
Baada ya kuona mvua inazidi wachezaji walikatisha mchezo kwa saa moja kwanza
VIKOSI:
Ukraine: Pyatov; Gusev, Khacheridi, Mikhalik, Selin; Yarmolenko, Tymoshchuk, Nazarenko, Konoplyanka; Shevchenko, Voronin.Akiba: Koval, Kucher, Garmash, Aliev, Shevchuk, Rotan, Milevskiy, Seleznyov, Rakitskiy, Butko, Devic, Goryainov.
France: Lloris; Debuchy, Rami, Mexès, Clichy; Cabaye, Diarra; Menez, Nasri, Ribéry; Benzema,
Akiba: Mandanda, Evra, Valbuena, Giroud, Matuidi, Reveillere, Malouda, M'Vila, Martin, Ben Arfa, Koscielny, Carrasso.
Refa: Björn Kuipers (Netherlands)
RATIBA:
----------------------Jumamosi, Juni 16
KUNDI A
Saa 3 Dak 45 UsikuWroclaw, Poland
Czech Republic v Poland
Warsaw, Poland
Greece v Russia
---------------------
Jumapili, Juni 17
KUNDI B
Saa 3 Dak 45 Usiku
Kharkiv, Ukraine
Portugal v Holland
Lviv, Ukraine
Denmark v Germany
---------------------
Jumatatu, Juni 18
KUNDI C
Saa 3 Dak 45 Usiku
Gdansk, Poland
Croatia v Spain
Poznan, Poland
Italy v Republic of Ireland
-------------------------
Jumanne, Juni 19
KUNDI D
Saa 3 Dak 45 Usiku
Donetsk, Ukraine
England v Ukraine
France v Sweden
No comments:
Post a Comment