BUKOBA SPORTS

Saturday, June 16, 2012

EURO 2012: SWEDEN WAPEWA KICHAPO CHA GOLI 2 KWA 3 NA ENGLAND, SWEDEN KWISHA!



Kwenye Mechi ya pili kwa kila Timu kwenye Kundi D la Fainali za EURO 2012 iliyochezwa Stadion NSK Olimpiskiy huko Mjini Kiev, Ukraine, England imeifunga France bao 3-2 na hivyo kuhitaji sare tu katika Mechi yao ya mwisho na Ukraine Jumanne ijayo ili kutinga Robo Fainali.
Kipigo hicho cha Sweden kimewafanya waungane na Republic of Ireland kuwa Timu ambazo tayari zimetolewa kwenye Mashindano haya na kumfaya Meneja wao, Erik Hamsen, alalamike kwamba licha ya kucheza vizuri matokeo si mazuri pale aliposema: “Operesheni nzuri ila Mgonjwa kafa!”
Katika Kipindi cha Pili, kwenye Dakika za 49 na 59, uzembe wa Difensi ya England ulimruhusu Olof Mellberg kufunga bao mbili na kuwafanya waongoze bao 2-1.
England wakamtoa James Milner na kumuingiza Theo Walcott aliebadilisha gemu kwa kuisawazishia bao katika Dakika ya 64 na kumpa pasi murua Danny Welbeck kufunga bao safi la 3 na la ushindi katika Dakika ya 78.Carroll baada ya kutupiaCarroll akishangila baada ya kufunga goli lake la kichwa
 Carroll amfanya kocha wake Roy Hodgson afurahie mapema!
KUNDI D
NCHI P W D L GD PTS
FRANCE 2 1 1 0 2 4
ENGLAND 2 1 1 0 1 4
UKRAINE 2 1 0 1 -1 3
SWEDEN 2 0 0 2 -2 0
Battle: Joleon Lescott and Johan Elmander challenge for the ball
Joleon Lescott na Johan Elmanderwakipigania mpira
Pursuit: Olof Mellberg chases Danny Welbeck as the England striker shows his pace
 Olof Mellberg akimkimbiza Danny Welbeck
Catch me if you can: Ashley Cole proves too quick for veteran Anders Svensson
Uwezi kama mimi ... Ashley Cole  akimwonesha veteran Anders Svensson kuwa yeye ni noma
Striking back: Theo Walcott blasts the ball home to draw England level once more
Theo Walcott alifanya kazi kubwa jana usiku kuakikisha timu yake inashinda
Thanks Theo: England's players mob the substitute after making it 2-2
                               Wachezaji wa England wakimpongeza Theo

VIKOSI

England: Hart; Johnson, Terry, Lescott, Cole; Milner, Gerrard, Parker, Young; Carroll, Welbeck

Akiba: Green, Butland, Kelly, Walcott, Henderson, Baines, Jones, Jagielka, Downing, Oxlade-Chamberlain, Defoe.

Sweden: Isaaksson; Grandqvist, Mellberg, Jonas Olsson, Martin Olsson; Larsson, Svensson, Kallstrom, Elm; Ibrahimovic Elmander

Akiba: Wiland, Hansson, Lustig, Hysen, Antonsson, Wernbloom, Safari, Holmen, Bajrami, Toivonen, Wilhelmsson, Rosenberg.

Refa: Damir Skomina (Slovenia).



RATIBA:

Jumamosi, Juni 16

KUNDI A

Saa 3 Dak 45 Usiku

Wroclaw, Poland

Czech Republic v Poland

Warsaw, Poland

Greece v Russia

---------------------

Jumapili, Juni 17

KUNDI B

Saa 3 Dak 45 Usiku

Kharkiv, Ukraine

Portugal v Holland

Lviv, Ukraine

Denmark v Germany

---------------------

Jumatatu, Juni 18

KUNDI C

Saa 3 Dak 45 Usiku

Gdansk, Poland

Croatia v Spain

Poznan, Poland

Italy v Republic of Ireland

-------------------------

Jumanne, Juni 19

KUNDI D

Saa 3 Dak 45 Usiku

Donetsk, Ukraine

England v Ukraine

France v Sweden


MSIMAMO:

KUNDI A

NCHI P W D L GD PTS
Russia 2 1 1 0 3 4
Czech 2 1 0 1 -2 3
Poland 2 0 2 0 0 2
Greece 2 0 1 1 -1 1

KUNDI B

NCHI P W D L GD PTS
GERMANY 2 2 0 0 2 6
PORTUGAL 2 1 0 1 0 3
DENMARK 2 1 0 1 0 3
NETHERLANDS 2 0 0 2 -2 0


KUNDI C

NCHI P W D L GD PTS
SPAIN 2 1 1 0 4 4
CROATIA 2 1 2 0 2 4
ITALY 2 0 2 0 0 2
IRELAND 2 0 0 2 -6 0

KUNDI D

NCHI P W D L GD PTS
FRANCE 2 1 1 0 2 4
ENGLAND 2 1 1 0 1 4
UKRAINE 2 1 0 1 -1 3
SWEDEN 2 0 0 2 -2 0

No comments:

Post a Comment