BUKOBA SPORTS

Thursday, June 14, 2012

EURO 2012: PORTUGAL CHUPUCHUPU WAIFUNGA DENMARK 3-2 KWENYE DAKIKA ZA MWISHO!

Portugal walibaki kidogo tu kulimwaga Gemu Jana baada ya kuongoza kwa bao 2-0, kwa bao za Pepe na Postiga, na kuwaruhusu Denmark kusawazisha kwa bao mbili za Nicklas Bendtner, lakini, Mchezaji alieingizwa Kipindi cha Pili, Silvestre Varela, aliokoa jahazi kwa kuifungia Portugal bao la 3 na la ushindi katika Dakika ya 87. Varela akishangilia baada ya kuipatia ushindi timu yake katika dakika za mwisho!
Opener: Portugal celebrate Postiga's strike
 Portugal Wakifurahi baada ya  Postiga kufunga Goli la kwanza
Desperate Dan: Agger berates his team-mates Lifeline: Bendtner halves the deficit
 Bendtne
Ushindi huu umewafanya Portugal warudishe matumaini baada ya kufungwa bao 1-0 na Germany katika Mechi ya kwanza na watamaliza Mechi zao za Kundi B kwa kucheza na Holland. 

2-0: Pepe gave Portugal a seemingly comfortable lead



Wasteful: Ronaldo should have extended Portugal's lead
 Ronaldo should have extended Portugal's lead

Equaliser: Bendtner looked to have rescued a point for Denmark
 Bendtner aliposawazisha goli
Super sub: Varela is mobbed after lashing home the winner
 Varela alipotupia nyavuni

Super sub: Varela is mobbed after lashing home the winner

VIKOSI:
Denmark (4-3-3): Andersen, Jacobsen, Kjaer, Agger, Simon Poulsen; Kvist, Zimling; Rommedahl, Eriksen, Krohn-Dehli; Bendtner
Akiba: Lindegaard, Christian Poulsen, Bjelland, Okore, Schone, Silberbauer, Pedersen, Wass, Jakob Poulsen, Kahlenberg, Mikkelsen, Schmeichel.
Portugal (4-3-3): Rui Patricio, Joao Pereira, Bruno Alves, Pepe, Fabio Coentrao, Meireles, Veloso, Joao Moutinho, Nani, Postiga, Ronaldo.
Akiba: Eduardo, Custodio, Almeida, Quaresma, Nelson Oliveira, Ricardo Costa, Rolando, Ruben Micael, Varela, Miguel Lopes, Hugo Viana, Beto.

RATIBA:
Alhamisi, Juni 14
KUNDI C
Poznan, Poland
Saa 1 Usiku
Italy v Croatia
Gdansk, Poland
Saa 3 Dak 45 Usiku
Spain v Republic of Ireland
----------------------
MSIMAMO:
KUNDI A
NCHI
P
W
D
L
GD
PTS
Russia
2
1
1
0
3
4
Czech
2
1
0
1
-2
3
Poland
2
0
2
0
0
2
Greece
2
0
1
1
-1
1

KUNDI B
NCHI
P
W
D
L
GD
PTS
GERMANY
1
1
0
0
1
3
PORTUGAL
2
1
0
1
0
3
DENMARK
2
1
0
1
0
3
NETHERLANDS
1
0
0
1
-1
0

KUNDI C
NCHI
P
W
D
L
GD
PTS
CROATIA
1
0
0
0
2
3
SPAIN
1
1
0
0
0
1
ITALY
1
1
0
0
0
1
IRELAND
1
0
0
1
-2
0

KUNDI D
NCHI
P
W
D
L
GD
PTS
UKRAINE
1
1
0
0
1
3
ENGLAND
1
0
1
0
0
1
FRANCE
1
0
1
0
0
1
SWEDEN
1
0
0
1
-1
0

No comments:

Post a Comment