Warsaw na kisha Wenyeji kutinga kucheza na Greece kwenye Mechi ya Kundi A iliyotoa Kadi Nyekundu mbili, moja kwa kila upande, Greece kukosa penati na kumalizika sare ya bao 1-1.

Katika Mechi nyingine ya Kundi A iliyofuatia baadae, Russia iliwatandika Czech Republic bao 4-1.
Robert Lewandowski, Straika wa Borussia Dortmund anaesemwa yu njiani kuhamia Manchester United, nde aliefunga bao la Poland katika Dakika ya 17 na Greece wakapata balaa zaidi baada ya Sentahafu wao Sokratis Papastathopoulos kutolewa kwa Kadi Nyekundu katika Dakika ya 44.
Kipindi cha Pili, Greece walisawazisha Dakika ya 51 kwa bao la Dimitris Salpingidis na katika Dakika ya 70
wakapata penati baada ya Kipa anaechezea Arsenal, Wojciech Szczesny, kumwangusha Salpingidis ndani ya boksi na kupewa Kadi Nyekundu lakini penati ya Giorgos Karagounis iliokolewa na Kipa wa Akiba Przemyslaw Tyton.
Kwenye Mechi ya pili, Russia waliwasha moto kwa kutangulia kwa bao 2-0, bao za Alan Dzagoev, Dakika ya 15, na Roman Shirokov, D
Kipindi cha Pili, Czech Republic walipata bao lao pekee katika Dakika ya 452 mfungaji akiwa Vaclav Pilar lakini Russia wakaongeza bao mbili zaidi kwa bao jingine la Alan Dzagoev na Roman Pavlyuchenko kwenye Dakika za 79 na 82.
KOCHA WA RUSSIA AKIELEKEZA WACHEZAJI WAKE JANA
Shirokov Akiweka idadi ya 2-0 kwa Russia kabla ya kipindi cha pili
RATIBA YA LEO.
KUNDI B:
Jumamosi Juni 9
[Saa 1 Usiku]
Netherlands v Denmark, Kharkiv, Ukraine
[Saa 3 Dak 45 Usiku]
Germany v Portugal, Lviv, Ukraine
No comments:
Post a Comment