BUKOBA SPORTS

Monday, June 11, 2012

EXCLUSIVE: HODGSON APANGA TIMU YAKE VIZURI DHIDI YA UFARANSA, AJIWEKA SAWA NA OXLADE PASIPO ROONEY. ASEMA WAPO TAYARI JIONI HII!



England wanatarajiwa kuwaweka Wachezaji wa Manchester United, Ashley Young na Danny Welbeck, kuongoza mashambulizi yao huku James Milner na Stewart Downing wakicheza kwenye Winga.

                               Wachezaji wa ufaransa wakiwa mazoezini
Kwenye Difensi, kuna uwezekano mkubwa Masentahafu wakawa Joleon Lescott wa Manchester City na Nahodha wa Chelsea John Terry.
 
France itamkosa Kiungo Yann M'Vila ambae aliumia enka ingawa amepata nafuu na nafasi yake itachukuliwa na Alou Diarra au, ikibidi, Blaise Matuidi.

ULINZI UPO PALE PALE Donbass Arena

uwanja wa Donbass ambapo pambano litapigwa leo jioni

WAKIKAMUA MASHABIKI KINYWAJI AINA YA BIA

Members of the MIGS (Men In George Suits) supporters club stand in front of the statue of Lenin in Donetsk

MASHABIKI WA ENGLAND WAKIONGEA NA MAPOLICE NJE YA UWANJA

MCHANA HUU KWEUPE MASHABIKI WAKIPATA KINYWAJI

No comments:

Post a Comment