Miss Dar Inter College 2012, Hilda Edward akiwa washindi wake wa pili Jamila Hassan kulia na Rose Muchunguzi kushoto, baada ya shindano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho, katikati ya Jiji la Dar es Salaam usiku huu. 

Wanafunzi wa IFM wakifuatilia shoo
mashuhuda
Hilda akipigana busu moto moto la pongezi na Miss Dar Inter College aliyevua taji Blessing Ngowi
TOP 5; Kutoka kulia Veronica Yole, Sada Suleiman, Rose Muchunguzi, Jamila Hassan na Hilda Edward
Nassib Abdul akitumbuiza kwa hisia, kibao Wema Wangu mbele ya jaji Wema Sepetu, ilikuwa tamuuu 
Katikati Jaji Wema akifuatilia kwa hisia zote kibao Wema Wangu wakati Diamond the Platinum anatumbuiza.
Mkuu wa Itifaki wa Miss Tanzania, Albert Makoye kulia na Mjumbe wa Kamati, Yasson Mashaka, pembeni yao kushoto ‘sijui nani huyu’.
No comments:
Post a Comment