MANCHESTER UNITED WAMTUPIA JICHO JAMES RODRIGUEZ KWA AJILI YA KUMBADIRISHA NANI
MASHETANI wekundu, wanajiandaa kumsajili nyota wa Colombia kwa Pauni milioni, James Rodriguez. Mshambuliaji huyo wa Pembeni mwenye miaka 20, Aliwavutia wafuatiliaji wa vipaji United tangu alipomwaga wino wa kuitumikia Klabu ya Atletico Banfield ya Argentina miaka miwili iliyopita.
No comments:
Post a Comment