Maximo, raia wa Brazil, kocha wa zamani wa Taifa Stars, anatarajiwa kutua nchini akiwa kwenye ndege ya Emirates linalomilikiwa na Falme za Kiarabu, ambayo pia inaidhamini Klabu ya Arsenal ya England.

Habari za uhakika kutoka ndani ya Yanga zimeeleza kuwa tayari klabu hiyo imetuma tiketi ya ndege kwa kocha huyo kutoka Brazil kupitia Dubai hadi Dar na amethibitisha kuipokea.
“Tayari Maximo ana tiketi mkononi na amethibitisha anakuja.
No comments:
Post a Comment