BUKOBA SPORTS

Friday, June 22, 2012

MTANANGE WA BUKOBA VETERAN V/S MWANZA VETERAN KUFANYIKA KESHO JUMAMOSI KAITABA STADIUM

 Picha ya chini walio simama kutoka kushoto ni:
Joshua Kilale, Ally Yusuph 'Tigana', Willy Mtendawema, Fomu Felician, Keneth Mkapa, James Tungaraza, Suleiman Mkati, Said Mwamba 'Kizota' na Steven Nemes.
Waliochuchumaa kutoka kushoto ni:
Willy Martin, Mohammed Hussein, Nico Bambaga, Jose Ayoub, Sanifu Lazaro, Edibily Lunyamila na Sekilojo Chambua.
NJOO uwaone Fumo Felician mchezaji wa Timu ya (Yanga) na timu ya Taifa, Juma Amiri (Simba) na timu ya Taifa, Khalfan Ngasa (Simba) na timu ya Taifa, Mbuyi Yondani (Simba) na timu ya Taifa, Kipese na Sekilojo Chambua wakitoshana nguvu na wazee wa Bukoba Kina Washokera, Hussein Kaitaba, Salum Mawingo.
Mechi yenyewe ni kesho Tarehe 23/06/2012 kwenye Uwanja wa Kaitaba kuanzia saa 9 mchana. Pia kutakuwepo na mchezo wa Netball kati ya Bukoba na Mwanza.
Njoo mapema uwahi nafasi mechi hii si ya kukosa, njoo na mwenzio.

No comments:

Post a Comment