Msimu mpya wa Mwaka 2012/13 wa LIGI KUU England unatarajiwa kuanza Jumapili Agosti 12 kwa Mechi ya fungua pazia ya kugombea NGAO ya HISANI kati ya Mabingwa wa Ligi Manchester City na Mabingwa wa FA Cup Chelsea na Jumamosi inayofuatia, Agosti 18, Ligi ndiyo itaanza rasmi kwa Mechi za kwanza kuchezwa.
Klabu zote 20 za Ligi Kuu zimeandaa na zinazidi kujiandaa kujisuka kwa Msimu huo mpya kwa kutayarisha Ziara na Mechi maalum kwa ajili ya Msimu huo mpya.
IFUATAYO NI RATIBA YA KILA KLABU KUHUSU ZIARA NA MECHI ZAO ZA KUJIPIMA NGUVU:
[FAHAMU: RATIBA hii tutakuwa tukiitoa upya kila Taarifa mpya zinapopatikana]
Chelsea kucheza na Paris Saint-Germain kwenye uwanja wa Yankee Stadium
Arsenal
July 14 Southampton (St Mary's - Memorial Cup) 8pm (45 minutes), July 14 Rangers (St Mary's - Memorial Cup) 6.45pm (45 minutes) July 24 Malaysia XI (Kuala Lumpur) TBC, July 27 Manchester City (National Stadium, Beijing - China Cup) 1pm, July 29 Kitchee (Hong Kong) TBC, August 5 TBC (Abuja Stadium, Abuja) TBC.Aston Villa
July 14 Burton Albion (Pirelli Stadium) 3pm, July 18 Philadelphia Union (PPL Park, Chester) 12.30am, July 21 Chicago Fire (Toyota Park, Chicago) 1.30am, July 24 Portland Timbers (Jeld-Wen Field, Portland) 3.30am, August 4 Nottingham Forest (City Ground) 3pm, August 11 Wolves (Molineux) 3pm.
Chelsea
July 18 Seattle Sounders (CenturyLink Field, Seattle) 9pm, July 22 Paris Saint-Germain (Yankee Stadium, New York) 12am, July 25 MLS All-Stars (PPL Park, Chester) 1.30am, July 28 AC Milan (Sun Life Stadium, Miami) 11pm.Everton
Fulham
July 15 Real Betis (Guangxi Sports Center, Guangxi) (Nanning Tournament) TBCLiverpool
July 21 Toronto (Rogers Centre, Toronto) 9pm, July 25 Roma (Fenway Park, Boston) 11.35pm, July 28 Tottenham (M&T Bank Stadium, Baltimore) 6pm.Manchester City
July 27 Arsenal (National Stadium, Beijing - China Cup) 1pm, July 30 Malaysia XI (National Stadium, Bukit Jalil) TBC.Manchester United
July 25 Shanghai Shenhua (Shanghai Stadium, Shanghai - China Cup) TBC, August 5 Valerenga (Ullevaal Stadium, Oslo) 7pm.Newcastle
August 11 Cardiff (Cardiff City Stadium) 3pm.Norwich
August 3 MK Dons (Stadium MK) 7:45pm.
QPR
July 14 Thai All Star XI (Ramajangala National Stadium, Bangkok) TBC, July 18 Football Association of Sabah Select XI (Likas Stadium, Sabah) TBC.Reading
July 14 AFC Wimbledon (Kingsmeadow) 3pm, July 21 Quarteirense (Quarteira Stadium, Vilamoura) 8pm, July 24 Sheffield Wednesday (Quarteira Stadium, Vilamoura) 8pm, July 27 Olhanense (Quarteira Stadium, Vilamoura) 8pm, August 4 Bournemouth (Steward Stadium) 3pm, August 11 Crystal Palace (Madejski Stadium) 3pm.Southampton
July 14 Rangers (St Mary's - Memorial Cup) 5.15pm (45 minutes) July 14 Arsenal (St Mary's - Memorial Cup) 8pm (45 minutes) July 21 Evian (Stade Joseph-Moynat) July 28 Ajax (St Mary's August 4 Wolves (St Mary's) August 7 Bristol City (Ashton Gate) August 11 Udinese (St Mary's)
No comments:
Post a Comment