BUKOBA SPORTS

Tuesday, June 19, 2012

WAKALI DANCERS WAFANYA KWELI DAR LIVE MBAGALA !!

Wanamuziki wa Kings Taarab wakiwa jukwaaani.
 Maua Tego wa CoastTaarab akiwajibika. Mashabiki wakiserebuka. …

Wakali Dancer wakiwa na bendera yenye nembo yao wakati wakisherehekea miaka 4 ya kuanzishwa kundi lao.

Kundi la Wakali Dancers likishambulia jukwaa.

...wakizidi kunogesha sherehe hizo.…
Wakali Dancer wakiwa na bendera yenye nembo yao wakati wakisherehekea miaka 4 ya kuanzishwa kundi lao.

Kundi la Wakali Dancers likishambulia jukwaa.

...wakizidi kunogesha sherehe hizo.

...wakicheza wimbo wa Thriller ulioimbwa na Michael Jackson.

...wakizidi kupagawisha.

No comments:

Post a Comment