WAREMBO WA MISS DAR INDIAN OCEAN 2012 WATAKAOWASHA MOTO KIJIJI CHA MAKUMBUSHO JUNE 22, 2012
Warembo wanaotarajiwa kushiriki shindano la Miss Dar Indian Ocean 2012 wakiwa katika picha ya pamoja.
Shindano la Miss Dar Indian Ocean 2012 linatarajiwa kufanyika ndani ya Kijiji Cha Makumbusho Dar es Salaam JUNI 22, 2012.
No comments:
Post a Comment