
Mkurugenzi wa masoko na matukio wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) Jimmy Kabwe akisaini mkataba wa makubaliano ya udhamini wa michuano ya Banc ABC SUP8R Soccer Tournament 2012 inayodhaminiwa na banc ABC kulia kwake ni katibu mkuu wa TFF Angetile Osiah, Mkurugenzi Mkuu wa benki hiyo Boni Nyoni na Mkuu wa Idara ya fedha ya benki hiyo, Mwalimu Zubery. Haflya hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam makao makuu ya TFF ambapo michuano hiyo itaanza Agosti 4-18.
No comments:
Post a Comment