SIMBA ILIVYOKEJELIWA BAADA YA KUTOLEWA NA AZAM FC KWENYE KAGAME
BOCCO amevamia Msimbazi lakini sio Mnyama ah!..ah.., wala sio wale haramu wa Nigeria ni huyu wa Lambalamba John Bocco wa Azam Fc!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama unasumbuliwa na maumivi yoyote BOCCOLYN ndio tiba sahihi, pata dozi kwa maendeleo ya afya yako...
Kutoka kwa sports lady ..Dina Ismail
No comments:
Post a Comment