KIMWANA Baby love Kalala usiku wa kuamkia leo ameibuka Miss Redd's Kagera 2012 katika shindano lililofanyika kwenye ukumbi wa LINA'S NIGHT CLUB, Bukoba akiwashinda washiriki wenzake 11.
Katika onyesho hilo lililosindikizwa na burudani ya OBSSESSION ‘Wadada wa Mgongo mgongo’, Juliana Robinson aliibuka mshindi wa pili, Mariam Ahmed mshindi wa tatu
Miss Baby Love Kalalaa(katikati) kulia ni miss Juliana Robinson na (kushoto) ni Miss Mariam Ahmed

Miss Baby love(kulia) mshindi na Miss Mariam mshindi wa tatu kabla ya kuchuana usiku huu

Washiriki wote 11

Tano bora(mshindi Baby love Kalalaa akiwa mbele)

Tano bora

Miss Anitha Zimbihile aliyewahi kupata taji la Miss Kagera kipindi cha nyuma akilivua taji na kumvisha mshindi wa mwaka huu miss Baby love Kalalaa!

Miss Anitha Zimbihile aliyewahi kupata taji la Miss Kagera

Miss Anitha Zimbihile

Mkurugenzi wa Rwelu Intertainment ambao ni waandaaji wa Onyesho hili Ndg Muhasa (kushoto)picha ya pamoja na Mgeni Rasmi Mh. Meya Anatory Amani

Baby love akifanya miujiza yake kwa wadau ....


Mhh... ili vazi ..

Mariam akijibu swali

Baby love akijibu swali kwa ufasaha usiku huu

Miss akiendelea kujibu swali..

Kushoto ni Chief Judge Mr Omary na Kulia ni ndugu Msumi wakifatilia shindano kwa makini sana.

Show ya ufunguzi ilianza..

show ya ufunguzi ikiendelea...

Dadaz wakifatilia miss Redd's Kagera kwa makini

Namuona Dada yangu Abela Kamala (kulia) na rafiki yake wakifatilia miss redd's kagera kwa furaha

Wadau vijana wakiendelea kuangalia warembo na huku wakiwa na hamu kubwa kumuona atakayeshinda (kulia) ni Tahiya na Hilary

Niliweza kupata picha ya wasanii kabla ya kuanza show zao

Hafsa Kazinja kwenye UKODAK wa pamoja na wasanii wa Uganda (Obssession)

kwenye Kamera ya Bukobasports ....hao ...

Hafsa Kazinja akiendelea kufanya mavituzzz....www.bukobasports.com ilikuwa live muda huo



Kazinja ... noma ... wakiendelea kumwangalia Hafsa

Mh....uuu....eee..ehh

Jangu ikiporomoshwa na Obssession

Obssession wakiendelea na show yao
![]()
wadau ....

Si wengine ni kundi la Obssession
Picha za chini ni za kumalizia na utoaji wa zawadi kwa walioshinda

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx mwisho xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Sikuweza kujificha sana nilionekana sehemu hii nikiwa na Miss Redd's moja wapo Kwenye Hiace yao wakati wanaelekea Work Guard Hotel Mchana.
No comments:
Post a Comment