BUKOBA SPORTS

Monday, July 23, 2012

KIRAFIKI: CHELSEA WATOSHANA NGUVU NA PSG MJINI NEW YORK

Mabingwa wa Ulaya Chelsea jana walitoka sare ya bao 1-1 na Paris St Germain kwenye Mechi ya Kirafiki iliyochezwa Yankee Stadium, New York, Marekani hii ikiwa ni mara ya kwanza katika Miaka 38 kwa Uwanja huo kuchezwa Mechi ya Soka.PSG, inayofundishwa na Kocha alietimuliwa Chelsea Mwaka jana Carlo Ancelotti, ndio iliyotangulia kufunga kwa bao la Anderson Nene katika Dakika ya 31. 
Chelsea walisawazisha kwa bao la Chikupizi wao wa Miaka 18 kutoka Brazil, Lucas Piazon, katika Dakika ya 82 baada ya kupokea pande zuri toka kwa Mbrazil mwenzake Ramires.Wachezaji wa PSG wakipongezana hiyo jana
 Hii ni kwa mara ya kwanza kuchezea Yankee Stadium
 
VIKOSI
Chelsea: Cech; Luiz, Ferreira, Cahill, Hutchinson; Lampard, Obi Mikel, De Bruyne, Hazard; Lukaku, Kakuta
Akiba: Turnbull, Ivanovic, Cole, Essien, Ramires, Malouda, McEachran, marin, Terry, Chalobah, Piazon
Paris St Germain: Douchez; Sakho, Alex, Armand, Jallet; Nene, Bodmer, Chantome Clement, Pastore; Lavezzi, Gameiro
Akiba: Areola, Le Crom; Bisevac, Camara, lagano, Maxwell; Tiene, Verratti, Rabiot; Luyindula, Hoarau
MATOKEO MECHI NYINGINE ZA KIRAFIKI
Jumapili Julai 22
Chicago Fire SC - United States 0 : 1 Aston Villa - England
Sunderland - England 3 : 2 FC Groningen - Netherlands
WKS Slask Wroclaw - Poland 0 : 1 Athletic de Bilbao - Spain
Seongnam Ilhwa Chunma FC - South Korea 0 : 1 Hamburger SV - Germany
SC Paderborn 07 - Germany 1 : 0 FC Twente Enschede - Netherlands
Benfica - Portugal 1 : 3 PSV Eindhoven - Netherlands
KSK Heist - Belgium 1 : 1 Club Brugge KV - Belgium
Cercle Brugge KSV - Belgium 1 : 0 Genclerbirligi - Turkey
KV Mechelen - Belgium 3 : 0 Getafe CF - Spain
KAA Gent - Belgium 2 : 0 Rayo Vallecano - Spain
HFK Olomouc - Slovakia 1 : 0 Hradec K. - Czech Republic
Haladas - Hungary 0 : 1 TSV 1860 Munich - Germany
TSV 1860 Munich - Germany 1 : 0 Haladas - Hungary
Falkirk FC - Scotland 3 : 7 Middlesbrough - England
Beşiktaş - Turkey 0 : 2 Maccabi Haifa - Israel
Sporting Lisbon - Portugal 2 : 0 Sheffield Wednesday FC - England
AS Roma 4 : 0 Zaglebie Lubin
SOKAINBONGO

No comments:

Post a Comment