BLACKBERY HANA CHAKE AZAM KUREJEA KWAO KESHO BAADA YA AZAM KUVUNJA MKATABA
Blackbery Odhiambo.
Yaliyowakuta Lino Musombo na Kanu Mbiavanga wa Simba na sasa yamemkuta mchezaji Blackbery Odhiambo wa Azam ambaye sasa ametimuliwa katika klabu hiyo kutokana na kushindwa kufanya vizuri katika michuano mbalimbali kabla ya kuelekea ligi kuu.
Mchezaji huyo alikuwa amesaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Azam mkataba huo umevunjwa na kesho asubuhi anarejea kwao baada ya kurudisha kila kitu cha Azam likiwemo gari alilokuwa amepewa kwa ajili ya kutembelea .
No comments:
Post a Comment