BUKOBA SPORTS

Wednesday, August 1, 2012

HULL CITY YAMCHUKUA KIPA WA MANCHESTER UNITED BEN AMOS!

Hull City imemsaini Kipa wa Manchester United Ben Amos kwa mkopo wa Msimu mmoja.
Kipa huyo mwenye Miaka 22 aliichezea Man United Mechi 4 Msimu uliopita na Uhamisho wake huo ni kumpa uzoefu.

No comments:

Post a Comment